biz ni noma, hii shop yangu nimeweza ku manage na kuigia kwa chama kadhha ambazo zimenipa loan, naona ni poa wasee washikane na wakue na vision ya kuendelea pammoja na biz itaweza.