
Biz related story ep1
Kuna time 2022 when I just started doing errands that a client called and sent me to buy her a dildo from mtwapa. Ni mswahili wale wa pwani.
Maze nimeenda nikapatana na plug nikachagua ile alikuwa anataka, size na length was a serious factor, nikaweka kwa hizi carrier bags za siku hizi.
Wale wanajua matatu za pwani mnajua ni zile 14 seater 'nissan' na mostly Kuna a seat just at the door behind ile ya conductor and mostly watu wakiingia Wanakuguza juu huwa space ni ndogo.
Kumbuka nimebuy staff haiko approved na the African society so nimeiweka kwa mapaja ndo isianguke. Makosa ilifanyika pale a woman ambaye alikuwa na weight aliingia. Mazee aligonga ile mzigo nga mpaka chini kwa lami.
Wanasema siku ya nyani kufa sijui miti hufanya nini, imagine hiyo staff ilikuwa wrapped ndani na ile transparent nilon na kuwekwa kwa carrier bag. Sema kuanguka na kutoka mbele ya watu.
Sijawahi aibika hivo, yaani nilikuwa kwa gari lakini unafeel tu macho ziko kwako, Hadi nadhani Kuna mtu alinipiga picha.