
BIZ & RELATIONSHIP
Ebu kiasi tubonge hii story. Ushawahi ku start biz na "bae"? Did it end well? Ama inaendelea aje? In an event hio relationship iishe kuna exit clause?
From experience yangu kuna a good feeling ya ku run hustle na partner wako especially kama hio relationship isha last over one year. Not only does hio hustle kuwaleta pamoja but u create pia environment ya trust na finance mapema.
But on the other hand, eeh!, Iko shida. Juu like sasa mkiwa na issue the same inaeza reciprocate kwa biz resulting in poor performance ama giving up altogether. Nimecheck sana few youth wenye biz yao imestand breakup. Na yenye sasa u stand unaget sasa walikuwa na documentation; official. Like biz kuwa registered as partnership. Ka MoU hapa na pale halafu kuvalue hio biz then personal emotions.
Wording yangu yenye naeza share, kuchapa the later kabla bi i grow. Fanya everything official and mkae m'agree vile ya ku separate mafinyo' na works. Happy Eid-Al-Adha.
#Biz101 #ShujaazBiz #LoveNBiz