
Biz si mchezo. Na si kila mtu anaifanya hadi ifly. Lakini truth ni hii β ukiweka akili, plan na consistency, hata hustle ya jaba inaweza grow ikue legit enterprise. π―
β Uza solution, si bidhaa peke yake. Watu hawataki tu spinach ama kicks β wanataka convenience, freshness, na trust.
β Pesa ya biashara si yako. Usiende kununua phone mpya na float ya biz bado haijakaa. Discipline ndio inabuild empire.
β Customer feedback si beef, ni direction. Ukiona complaints, shukuru. Thatβs free consultation.
β Fanya records zako ziwe clean. Kama huwezi ku-track pesa yako, hautajua kama unapata profit ama unapoteza.
Message ni moja: Hustle yako inaeza badilika ikue biashara ya heshima. Lakini lazima ucheze na akili, sio nguvu pekee.
0
0
0