
Biz sometimes can traumatize you hadi unachizi bana. 😅 Nilikuwa na youth flani ocha alichukua loan kufungua biz ya kuuza samaki. Two days hakuna customer. Si wakaanza kula hizo samaki—juice na samaki, uji na samaki, soda na samaki! 😂 Bro alipata trauma ya ukweli, saa hii hata aki-smell harufu ya samaki huwa anatetemeka.
Meshers, umeshawahi ingia kwa biz mbaya hadi uka-regret life decisions? Let’s hear those painful (but funny) lessons! 👇
0
0
0