
Biz talk of the day!
Ushai pata fundi wa viatu, nguo ama mbao(Carpenter) mwenye anasema ukweli about delivery time ya service ama products zao? Ukiwa kwa hizi biashara fanya research vile unaeza maliza order za customers on time. Utapata more customers na ku-retain loyal customers!
#ShujaazBiz
0
0
0