
š Biz Tip ya Leo! ā”
Do you love cooking?š³šŖ Ama unajua mse ako kwa hii industry š¤? Here is an idea š” Mtaani Kuna events mob kama ruracio, baby shower, bridal shower, family gathering ama tu msee ako na wageni.
ā© Build skills noma za either kupika samosas, ama chapo ama grilling choma na utaona ukijenga brand yako na kujulikana. Hii idea doesn't require capital - utapika food yako mtaani & present it in a nice way then una i-post hapa MESH na pia on your existing social platforms. Pia kama you are not good in cooking enda YouTube unaeza jifunza something..šÆ
#KuomokaLazima
#Hustle
#Cooking

0
0
0