
Biz Tip ya Leo! ⚡
Do you love cooking?🍳🔪 Here is an idea. 🤔 Mtaani Kuna events mob kama ruracio, baby shower, bridal shower, family gathering ama tu msee ako na wageni.
Build skills noma za either kupika samosas, ama chapo ama grilling choma na utaona ukijenga brand yako na kujulikana. Hii idea doesn't require capital - utapika food yako mtaani & present it in a nice way then una i-post hapa MESH na pia on your existing social platforms. Pia kama you are not good in cooking enda YouTube unaeza jifunza something..
#KuomokaLazima #Biz #Hustle #cooking
0
0
0