🆕 Biz ya boda boda ni poa? 🏍
Mtu wetu kwa ground Roy Kanyi alifika Mwiki, kuchapiana na Titus Mwangi. Anafanya hii biz na ameshare vile alianza, profits na vitu unafaa kujua.
Watch then tushow ⏩ Tubonge kuhusu biz gani tena? 🤔

0