
Biz ya Duka inakuwanga tticky kuanzisha but once umeget kuinteract na clients na wakakuwa comfortable na reliability yako kufungua duka mapema na kuclose shop late unajipea advantage ya kuwa na extra clients daily ju most shops zinafunguliwa na kufungwa mapema ,pro tip 101.
0
0
0