Biz ya kuuza mtush, nguo na viatu hukuwa noma sana..hebu msee anichanue Na Starting capital yake, challenges na pia advantages zake