
Biz ya kuuza porridge kwa mtaa unastart na capital kiasi let's say 2k unabuy vikombe na unga unauza morng 50cups na evening 50cups a cup costs 20bob so ie 100*20=2000 per day ukitoa expensives unasave 1k in a month ie30k #meshchallenges#ideaszamesh#sisinimesh
0
0
0