Biz ya salon Bora unashuka neat na kwa Bei yenye your customers and environment can afford,manze utaget wasee kibao..pia services zako zitajulikana koz customers wako watakupigia campaign kwa mabeste wao.
Kinyozi nayo,Bora ujue kunyoa poa,alafu unaweza ongezea head massage with little extra pay,nawashow biz itashika kushika, services zikiwa poa, customers watakua wengi na biz itashika ady ushangae.
0
0
0