Biz ya yard mzee ni a wholesome experience. Kitu hunibamba na hii biz ni kumeet mafundi wengi. Inanisaidia kuexpand na kuleta vitu zinasonga. Soon naona nikiseti hardware store hapa tu next.