
Biz yangu before nijoin Mesh ilikuwa haina plan yoyote,, customer walikuwa wananipita tu but after nimeingia kwa hii group ya wazito, nimejengwa na ideas kibao, vile naweza improve biz yangu, places naweza fanya biz na pia lugha ya kuvutia customers,, Biz sai imenoga sana
0
0
0