
Biz yangu c ya kupata profit mi ni chief librarian hapa mtaa ya Korogocho. Hapa tunapea ma student humble space na books was one ili through education wanaeza omoka. Lakini tuko na challenges mob juu most of the wanatoka kwa familia poor so ata kuafford registration fee na monthly fee ni hard kwao so most of the time inabidi ata wengine uingie kwa mfuko yako na pia during hii time ya Corona hatujakuwa na madonor so tu struggle kupate resources kama new books and other resources kama unafeel unaeza support paybill yetu ni 4048105 ama unaeza no reach kwa 0796626984 our official library number
0
0
0