
Biz yangu inaitwa Long Beach Barbers iko na miaka 3 sasa since niianze.In this business just like any other business,you don't fear to start small or from scratch.Jitume provide quality services n trainer wangu, Fresh Kutz Foundation alitushow usiwe na haraka na customer wako,have fun! Kuna time flani my brother alikuwa amelazwa hosi hapo Kiambu County Hospital after kuumia akiwa job.Nikiwa hapo hosi nikikucheki sometimes nadonate blood,kuna morio alikam na machine ya kushave kwa bag na spirit na kitambaa akaanza kushave wagonjwa ambapo wao ndio walikuwa customers wake.Alikuwa anadunga machine(Clippers) kea sockets ndani ya ward na kushave wagonjwa juu hawaezi fika kinyozi nje coz of varied reason like pain, sometimes ni noma kutembea.So nilimrequest kama naweza shave bro yangu akasmile na kuniuliza wani me ni kinyozi mwenzake nikamshow kweli but nilikuwa nimekam kumcheki kinduguu.Nikamshave na nikajenga Kinyozi doo zake akasonga kwa mgonjwa next.Hio fom iliattract attention yangu mpaka nikacheki kweli huyo morio alithink outside the box na kumeditate akapata hosi wagonjwa hawashughulikiwi na shave but akafunga hio gap by offering this service yenye hadi mimi ilininice. Bottomline: Never Fear to Do Anything,It Can Turn out To be Your Gold mine!
#Tuinuane # Tujengane #MESH