
Biz yangu ni ya kugrow Hoho (capsicum), Niko na experience and nimelearn alot throughout my farming course,nahelp new willing farmers wajoin this lucrative venture, iko very profitable ukiifanya the right way. Nashukuru #mesh kwa kunipea this opportunity tujengane na fellow agriprenuers Ebooks ziko available @50/- only bei ya hasla. #MidYearChallange

0
0
0