Biz Yangu ya kuuza movies niliset up na doo ya mkopo na nikaweza kuilipa na bado biz yangu inafanya poa after kusettle madeni....ningependa ku'encourge wasee wasi'give up