
Biz yenye me hufanya my fellow meshers 🥰 ni kuuza lollipop campus,najua Ina sound off but begger's can't be choosers. Na plus Inanipea profit kubwa at the end of the day, like me hubuy my product kwa wholesale kwa 520 na nauza 15 each pop so napata 750 each day so profit ya 230 daily,after one week Niko na 1610 ka profit pekee yake. Idea ya kuuza pops chuo nilipewa na my friend anaitwa Salma who inspires me so much but hio ni story for another day, advantage ya such a small bizz nikua huezi uza on credit na my clients wanaelewa,plus me hukua na my specific clients who Niki approach hawaezi kosa kubuy,na my product are lovable na haziezi haribika no matter what, challenges me hupata like kitambo I used to buy them for 420 but sai ni 520 so inapanda na uchumi,cjui ka itapanda zaidi but I hope not. Plus wasee wengine hawapendi pops so hio hua downer other than that inaendelea smoothly


