
Biz zote zinahitaji ukuwe resilient na consistent na operations zako na pia umaintain quality ya goods na services unaoffer looking forward kuzi improve ,strive kuwa better over time kwa biashara ndo you increase client numbers inturn making more profits.
0
0
0