
#BizLoans
Credit History, Credit Score. Hizi kwa msee ako kwa biz zinamean growth am disappointment time unataka ku expand biz.
Sometimes savings haziwezi pea biz the ever needed boost yakuwezesha wewe ku expand. And Loans ukuja in as the best alternative. Kama the two haziendi sawa unapata either unaget Loan kidogo ama kukuwa denied all together.
Mimi from experience, nilianzisha biz yangu na loan. And ku expand pia ni loans ziliniwezesha kuget capital yaku start extra service. With every added services, unaget sasa biz yote inagrow kwa pamoja juu most services ukuwa intertwined.
Najua ma fellow youths wamekuwa na challenges most. Hapa hapa mesh kuna so many ideas poa but number one issue ni capital and accessibility ya loans.
So kama meshers tutazingatia hizo elements mbili; score na history ku accesa any loan inakuwa so easily sana. And unaget ku walk away from predetory mobile loans.