
Bizna si lazima ukue na doh mob mi nilianza na 3000 nikabuy skateboots then nikaanza kutraining vijana nikipewa pesa then nilikua na save 200 per day sai kwenye nimefikia nataka kuopen skating school juu I know what am doing in a bizna.bana naeza show youths sai nikujituma watuangu ukipata doh kiasi save itakuhelp mahali 💪💪
0
0
0