Bizz iko down juu ya campaign na life iko juu tuu sanaa fuel imepanda na my motorcycle driver haletii pesa za kutosha kisingizio mafuta..price