
Blessed is a day that the Locked get Unlocked, where slaves get freedom and when Silence is killed by Chanting voices.
Nimefurahia leo nime win for the Youths, at least from a good fight nimefaulu kufikisha 6 Youths wenye walikuwa lost in drugs na wame kubali kupata Help. Currently wapo Help centre kesho ni fight for funds ntafika kuitisha ili wapate help na wakuwe poa after there program.
SAY NO TO DRUGS & DRUG ADDICTION. On top nimewaandalia Epic kuhusu Drugs on Falamjanjahub.WordPress.com tufike tusome itatusaidia ama iwa saidie wenzetu.
0
0
0