
Bloggers: 3 Quick Hacks Unafaa Kujua
1️⃣🔹Write your captions like tweets. Why? Short. Direct. Sharable. Attention spans ni short siku hizi.
2️⃣🔹Tumia subheadings—watu hawasomi wall of text
3️⃣🔹Always link to post zingine zako—inaongeza traffic na repeat readers

0
0
0