
Blunders ni inevitable kwa #Biz so far, unaweza sema your worst mistake imekua gani na uli-recover aje?!🤔 Is it advisable kuanza #Biz na loan?!🤔Share na #Community mistakes, lessons na advice about kuanza #Biz na loans kwa comments👇
#BusinessLessons #FormNiKujengana💪🏾 #SisiNiMESH

0
0
0