
Bob ni rafiki yangu sana,tumekua tukijuana tangu high school .Bob ako na biz ya kinyozi pale Gikosh.Bob anapenda job yake coz hio ndio huleta food kwa meza na kulipa bills. So juzi Bob alinichapia kwamba biz yake iko down na eti customers wake wa kitambo walimhepa .Bob alikua anawish kupata namna ya kumaintain customers .Mimi na ma one two zangu nikamchapia Bob nidesign logo kwa sababu itasaidia customers wake kutambua biz ya Bob . After one week Bob alinichapia customers wameongezeka na kunishukuru kwa services zangu . Kama uko na biz unahitaji quality visuals kuattract new customers kama Bob . Huwa nasaidia business owners kudesign logos. Kama hii story imekujenga uneza nicontact tufanye miradi.
WhatsApp : +254737704373
By the way hii ndio logo nilidesign. Icheki hapo chini 👇
