
Body language inakuanga key factor kwa biz Inasaidia msee kujua kama your client ako willing kufanya kenye unamshow ama ako willing kuchukua the offer na pia inaonyesha kama client ako 😊 happy na the services 😊 you offered Hence ni poa kuwa on the position ya kuread body language na gesture za your customer
0
0
0