
✅ Boomplay – Wanapush local content, best kwa artists wa Kenya & Africa, unaeza pata streams haraka, shida ni sio popular worldwide
✅ Audiomack – Free streaming na downloads, wasee wanaeza stream ngoma bila kulipia, easy kupata listeners, shida ni monetization sio strong kama Spotify
✅ YouTube – Wasee huwatch na kusubscribe, best kama uko na video, Ads zinaeza kulipa after some time, lakini nayo streams ni slow kwa artists wapya
✅ Spotify – Global reach lakini streams ni struggle, iko na worldwide audience, payments kwa streams ni better, kujulikana inachukua time na marketing iko ngumu
Which poison my guys do you choose?

0
0
0