
Brammo ako na tips kali sana za ku-market #Biz online, yenye imenibamba sana ni anatambua social media platforms customers wake wanatumia. Mostly; WhatsApp, Instagram na Facebook. Hapo ndio yeye hucheza na online Ads. Currently, unatumia platform gani ku-market Biz zako?
Share na sisi kwa comments! 👀
Pia, unaeza cheki video zingine za Brammo hapa: https://mesh.life/app/learn...

0
0
0