BREAKING: EPRA wamerudi chini kidogo kwa bei ya fuel ⛽
Baada ya public outcry, VAT imeshushwa from 13% to 8% na EPRA imeadjust fuel prices downward.
Picha hapa chini iko na official breakdown ya Super, Diesel na Kerosene.
Swali ni moja tu, wasee wa ground hii change inawasaidia kweli kwa maisha ya kila siku, au bado ni matheory?
0
0
0