
Breanice, assume uko na 120K. Hapa kuna Ways kadhaa za kuku help u get started:
-
Elewa Biz ya M-Pesa:๐ Firstly elewa M pesa main goal ni ku transfer doh that's withdrawals na Depos.. Some other tips na bonuses ni sim card swap and registration.
-
Make sure unameet requirements za Saf:โ Saf Iko na requirements muhimu ndo ukuwe agent wa M-Pesa:
- Registration ya Biashara: Kwa Gava.
- Kitambulisho:๐ Make sure uko na Identity yako ID ama passport: -Location: kama sokoni au karibu na- Stage ya nduthi, ama CBD Float: Safaricom inahitaji Agent akuwe na initial float ya around KES 100,000.
- Gawa Budgetโ Example for 120K hii ni example ya vile utadivide budget yako:
- Initial Float KES 80,000
- License ya Biashara:KES 10,000
- **Rent:KES 15,000
- Other tools kama (Sign post Furniture, LED indicator ya Safaricom):KES 10,000
- Other Overhead costs KES 5,000
4.Request kuwa Agent wa M-Pesaโบ๏ธ Visit Official Saf shop ama website yao. Utafill form process iendelee further:
- Fungua Shop After approval. Hakikisha Iko accessible .sign post na LED light zinakuwa advantageous Na Zina make duka ikue attractive na Legit.๐ฅต
6.Piga Biz๐ช๐ป
- Make sure service Iko Top, na trust from clients. Kuna wase WA high deposits hizo huokolea commission.
- Keep records..๐ป Records za kazi yako hukuwa important kwa sababu ni requirement by Saf pia.
- Saf calls you only from 0722000000 EPUKA FRAUD ๐๐
- Jenga Biz Sell airtime, Pay KPLC bills, water bills. sim card. a sim swap. I wish you success and I hope my Guide helps you and comes up on top as the best advise.
0
0
0