
Bro, Content creation nayo hukua ngumu walai. Ata kama wasee husema consistency ni muhimu, tunafaa kuconsider issues mob, kwanza tuseme kama youtube hivi, man kufikisha 1k subs na 4k watch hours utaitana buana. Alafu ni ati ufikishe hizo 4k hours in a year. Nikianza kubreak down hapa itakua 4000×60 ni 240,000 mins in total for all your videos. So tuseme 240,000 videos at 10 minutes long, with each getting 1 view, of which inakaa impossible. Acha tueke 240 videos at 10 minutes long, with each getting 100 views. Alafu effort sasa ya kutafuta content, kushoot na kuedit wueh! No wonder wasee wengi hugive up katikati.

0
0
0