
Bro, my boy aliingia biashara ya garbage collection — after 3 days akapewa one week exit notice... si ya kazi, ya maisha. Wakamwambia “Exit the business or enter the casket.” 😅Saa hii lorry yake inabeba tu mchanga na dreams zenye hazijatimia.
Mi nikaona wacha nicheze safe, nikaweka kibanda ya bonga Pipeline jioni. Saa sita usiku sijamaliza hata kuweka stool, wasee walitokezea kama Avengers wa mtaa wakaniambia, “Hapa tuna-collect tax ya hewa na kelele.” Wakanipatia permit ya kuondoka haraka.
Hii Nairobi unafungua biz, na mafisi wa cartel wanafungua group ya “Welcome to the Jungle.”
Wacha tuambiane ukweli... ni biz gani uliwahi anza ukapatana na Thanos wa mtaa?
0
0
0