
BRO TO BRO:
Man kuna vile unajikaza unapush daily, lakini ndani unajifeel wee umechoka hakuna progress unamake– akili imebebana, expectations zimekupiga, na society inakushow ‘be strong.’ Thats why btw wasee huwa wanaenda silent, na unajua mara mingi si juu ya laziness ama arrogance wanajaribu kujiangalia wasichizi. In my small experience, nlilearn si lazima ukue na answers zote,si kila siku ni lazima u-win. Life ni all about small steps. Mjiangalie sana tusiskie story za ooh umeji'ice you my boys. Alafu check on your Bros, hii economy haina huruma itatumalisa. Mi ukinipigia siezi kosa za kabej.

0
0
0