
Btw ata hua tunajistress sana tukishangaa tutaanzia wapi kucreate video content, sio lazima ata ukue na expensive gear sijui nini nini, wewe just get out, document events, day in your life, hangout with friends, cooking, skin care hivi hivi, yaani just document ,with time ata utashangaa ukiona you gathering a small following, hio itakumotivate sana and with time utakua big wig. This is the trend most content creators started with. Happy weekending my guys

0
0
0