Btw hawa wasee wa cyber wanaonekana wanafanya biashara mbaya sana na hii CBC! 😄 Kuna jirani nimeskia akiteta eti ametumia karibu KSh 600 kuprint materials za shule. Eti watoto wameitishwa pictures za vertebrates, animals, plants na other learning materials. By the time umemaliza kila kitu, umeacha KSh 500–600 kwa cyber! 😳 Kama wewe ni msee uko na cyber, CBC imekuwa blessing ama? Biz iko aje upande wenu? 🤔😂 Wazazi wanalia, cyber owners wanatabasamu kidogo kidogo. 😅
0
0
0