Btw nani huchora hizi comic books za Shujaaz? Naeza taka kujua the guys that give life to Dj Boyie, Malkia, Maria Kim, Charlie Pele. Hizo drawings hukua on point sana.. @[Dj Boyie]