
Btw nimekaa chini nikarealize si biz zote unaeza fanya. 2021 nilikuwa na baby shop online kalishika but after 4 months nilifunga. In a week nilikuwa naget profit ya 5-10k. Then nikafungua household online store hii nayo haikushika in a month profit nilikuwa naget ni 2k.
0
0
0