Btw nimeona hiyo message ya nije nitoa maoni na mtazamo wangu ni kwanza Mesh huwa hatilii maanani malalamishi ya meshers nimeona messages mingi ya meshers wakiteta wakileta malalamishi hawaskizwi ama hakuna kitu inafanyika hiyo tu ndio mgogoro niko nayo na hii platform but pia nina ombi kwa organizers wa platform ya Mesh kama mnaeza kuja na kaa expo yenye meshers sote tunaeza patana tunonyeshana products zetu tupromotiane alafu bei ya kubook slot ya kuvend isiende juu ya 10k tutashukuru
0
0
0