Buan hapa ni business card yangu nimetoka kuunda sahizi tu thanks to mesh ilifanya nikajua canva nikajiuundia. We do wholesale /retail supply of all glass ware materials na pia ukitaka tunachangamka na installation. Mirrors za sink mirrors za wardrobe you name all the designes kai glassmart got you. Kumbukuka ni kugrow pamoja.

0
0
0