
Buana comedy nayo ni ngumu ata inaeza maliza self esteem yako useme heri ukue pastor. Nakumbuka my pal alikua anataka kuingia into comedy venye alikapitia akijaribu kutengeneza jina. Alikua anapiga stand up comedy, audience yake ni ya 6 people lakini wote wameinamia simu ni mimi tu najaribu kusmile nimpee motivation. Chenye nliona ni ukikitaka kupenya kwa field ya comedy and vines ni kupea wasee good relatable content. Jokes ziko na kaukweli ndani buana, utupee vitu kali kali pia in a good consistency venye Kennar na Flaqo walitufanyia adi tukawakubali. Ama my guys mko na advice ingine gani kwa upcoming comedians?

0
0
0