
Buana drone cameras hukua expensive sana. Hapa inatakanga budget ya over 80k. Plus sasa lazima ukue na licence anga permits zenye almost the same na the price of the drone. Unless unafly huko msituni pahali KCAA hawako. Ju ukibuy itabidi ukue na Identification documents, Police clearance certificate, Company registration document (if applicable), Photo of the drone, Circuit diagram of the drone (if applicable) Heri ushike tu canon EOS 4000D DSLR ya around 50k uchape kazi yako clean and uondokee stress. Alafu nliona ati kuna drones za less than 20k, apana jaribu omwami unless unabuyia mjunior toys. Drone cheap kuliko simu ya tecno jua hio ni kids stuff.

0
0
0