
Buana I never thought pretty previledge would save me until this day. Kamadam ka traffic kalikua kanataka kunikamata ati nimeweka gari LED lights kumbe mimi ndio nilikua nikakamate roho. Kaliingia kwa gari na shida sana,kakaniuliza wapi licence hebu twende station. Nikaambia relax madam,Badala tuende station si twende kwangu tusolve ii maneno.
She smiled at me sheepishly,had a very big gap between her lower incisors,I could tell she was from Ntulele. She then said giggling "Mhh,usilete mchezo kwa kazi aki,ebu twende" I asked her "wapi,kwangu?" She busted out laughing. Nikajua hapa sasa nimeshaafanya ile tunaita state capture. She no longer takes orders from Ruto but me. Atukufika station,She gave me her number and I paid for her nduthi to return to her spot,pale chiromo. Mimi ni faya si faya?
But lemme just warn you,only try this if you have a big car. Kama unajua gari yako ukiingia namna hii huwa unaiinamilia nikama unaingia manyatta apana jaribu ii maneno. You will see bad things,you'll be charged with sexual intimidation and public display of horniness. Apana chesa! Angalia jirani mwambie WanTam