
Buana saa zingine hua unajipata tu staring at your screen, pencil ama camera na hakuna ideas zinacome through – nataka kuwashoa mjue ni normal! Solution: Wacha hio kitu for a few minutes, enda tembea, watch kitu inspirational, ama listen to music. Mara nyingi utaona ukirudi, ideas zitakua zinatembea. 🎧🎨

0
0
0