Buda, story ni simple! Nikiwa bado msee wa mtaa, nilikuwa na ngumu ya life, so nikasema acha nijaribu hustle. Nilianza na thao ya kuomba mathe, nikanunua mabuyu na big G, nikaanza kuuza kwa base. Kidogo kidogo, doh ikaanza kugeuka.
Siku moja, nikashika thao yangu ya kwanza safi kwa mkono, nikajua hii ndio njia. From hapo, hustle ikaingia kwa damu, na rest ni histor
0
0
0