Budget husaidia kujua vile unatumia finances zako, na pia zinakukeep on track na plans zako usi-overspend doh kwa vitu haukuwa umepangia.