Burnout Ni Real. Pumzika ata leo. Weka time ya recharge – hata mashine hujipatia break. Ju ata tuko weekend, na ni end month najua mfuko iko fiti, jipeleke out ukunywe kasoda.