Business has not been good lately but sita give up. Niki kumbuka Coca Cola only sold 40 bottles the first year and still held on mimi ni nani? Acha nipambane siku moja itajipa